CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,100
Tukubaliane duniani kote kwa sasa kuna changamoto kubwa sana ya Mapenzi ya kweli, ndani ya miaka 20 dunia imebadirika kwa kasi sana kimatendo, hisia, busara, na namna watu wanavyochukuliana..
kila Mwanamke awe mbovu, msimbe, mzuri, mwenye shape na asiye na shape, anajitutumua kuwaambia wanaume "Tafuta hela, Mwanamke hatongozwi and bla bla, tafuta hela Mwanamke hakai Mbali na simu, Tafuta hela upate mwanamke mwenye Hadhi"
kimsingi sana Hii Tafuta hela Slogan ni Udangaji Pro max technique, wakimaanisha kila mwenye hela anaweza kumfanya chochote,
na kifupi ni kwamba tafsiri ya kupendana kwa sasa sio ile huruma, matendo ya kujali, kuheshimiana, kushauriana bali ni Biashara ya Pesa Vs Pussy kwa sababu tukubaliane hapa...Mwanamke hana kingine cha ku offer kwetu sisi wanaume.
hii slogan ni nzuri hasa kwetu wanaume kutafta hela, lakini sio kwa ajili ya wanawake watu Wakomavu mtanielewa..
usitafte pesa Kwa ajili ya kuwafurahisha na kuwakomoa wanawake waliowahi kukukataa ukiwa huna kitu, nna uhakika unao uwezo wa kuwa na mmoja ambae unamwelewa na anakuelewa toka ukiwa huna na ukiwa nacho, tumia nae, jenga nae, wekeza nae, shauriana nae....hakuna mtu aliyewekeza kwenye uhongaji kwa wadangaji hakuacha kujutia baadae, ni mikosi, kuishiwa na huwezi kukomoana na hizi K ziko nyingi sana.
mtafutaji wa Leo, usihuzunike kwa kukataliwa kwa kauli za "Tafuta hela" baadhi yao kwa sasa wameamua kuwa na mwavuli wa kauli hyo kudanga na hakuna mapenzi ya kweli.
TAFUTA HELA KWA MAISHA YAKO YA BAADAE NA FAMILIA YAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app