Habarini wadau wa lugha,
Binafsi ninapata shida sana kuelewa mantiki hasa ya neno tajwa sababu ninaona maneno mawili ndani ya neno moja yenye maana ileile..taarifa ndio habari hiyohiyo.
Hem chunguza tungo zifuatazo;
(a) habari tulizonazo ni kwamba...............
(b) kuna taarifa zimetufikia punde kwamba................