haya shemeji.
Shuka Shem...niko hapa chini nshafikaShemeji twende lunch
Shemeji shemejii kazima taaa aaag!!
Ooooh kumbe janja yako unataka uitwe shemeji afu usafiri bure eeeh shemeji!!!hivi kweli shemeji yako utamuomba nauli?
.
Shemeji twende lunch
Baada ya kuwaza kwa muda mrefu sasa nasema hadharani neno shemeji halina thamani tena kama ile ilivyotarajiwa, ukiwa kwenye daladala utasikia konda akiomba nauli kwa wadada, hapo shemeji, hivi kweli shemeji yako utamuomba nauli?
Au hata mateja yakiona mdada yanaita shemeji, yaani neno shemeji limekuwa kama mzaha na dhihaka tu, heri tuitane kwa majina tu.
Shemeji hujambo?