julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Mhhh.....hivi ulishawai kuiona signature ya watu8.....
Naomba niambie alimanisha nini hasa kusema "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" unahisi vinashabiana?Mhhh.....hivi ulishawai kuiona signature ya watu8.....
Naomba niambie alimanisha nini hasa kusema "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" unahisi vinashabiana?
Nilikuwa nataka ukaione tu nayapendaga hayo maneno.............
Back to topic...ONLINE FLIRTING IS NOT GOOD AT ALL......hasa ukiwa unahold certain
expectation about someone ambae hamjawahi kumeet kabisaaaa........unaona avatar
yangu basi unadhani kama na heaven yuko hivyo hivyo kumbe ni mtu tafauti kabisaaa
Unajua kuna kitu kinaitwa white lie...Yaani uongo mwengine ni wakitoto na unatumika kumdanganya mtoto mfano anataka pipi huna pipi unamzungusha ndio kutongozana kwa humu..Hivi kweli utampenda mtu ambae hujamuona angali una mahusiano na mtu mwengine unamdanganganya nani,huyo anaetongonzwa ana akili za punguwani?inafurahisha sana unaposikia nakupenda sana yaani wewe basi tu niko tiari kumuacha niliyenaye kisa wewe! mtu hajakuona hajui mapungufu yako pengine ni bora shetani amujuaye kuliko malaika asiyemfahamu! japo najua victim humu tuko wengi na wanufaika wa mchezo huu wamo ila basi tusidanganyane jamani, kutana na mtu kwanza pengine soma hata maongezi yake na kulidhika kwanza jaribu kuwa strong wa hisia kama ni wako si pole pole jamani!!
kweli ndugu yangu hiki ni kitu muhimu sana ulichokinena!tujitambue kwanza jaman dah!!
Tena anaye kubali anapaswa kuitwa zaidi ya punguwani ndugu yangu duh! hata kama utandawazi kuchukulia aliye mbali kama aliye mtaani kwako si kiivyo!Unajua kuna kitu kinaitwa white lie...Yaani uongo mwengine ni wakitoto na unatumika kumdanganya mtoto mfano anataka pipi huna pipi unamzungusha ndio kutongozana kwa humu..Hivi kweli utampenda mtu ambae hujamuona angali una mahusiano na mtu mwengine unamdanganganya nani,huyo anaetongonzwa ana akili za punguwani?