Neno Mungu anawaona...

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
852
1,505
Habarini za mchana wakuu,

Kumekua na wingi wa utajaji wa hili neno, "Mungu anawaona" pale inapotokea ukandamizaji wa haki au mambo yanapofanywa mrama na group flani.

Kusema, "Mungu anawaona" inamaanisha hamna njia nyingine ya utatuzi wa tatizo na kwahiyo unamuachia Mungu atatue hilo tatizo.

Ni binadamu pekee ndo mwenye uwezo wa kutatua matatizo yake ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kwa kutumia realistic, practical and verifiable methods.

Urusi, China zilianza kupiga maendeleo pale zilipoachana na mambo haya ya Mungu anawaona.

Kusema Mungu anawaona, inamaanisha unajitoa katika njia ya ufumbuzi wa tatizo. Hakuna ushahidi kwamba Mungu yupo au hayupo. Kumkabidhi majukumu kiumbe ambaye hatuna evidence yoyote kuhusu uwepo au kutowepo kwake ni mambo ya kizamani katika karne hii ya science na technolojia.
1482923644791.jpg
 
Back
Top Bottom