Neno mswahili wewe unalitafsiri vipi?

mswahili ni mtu anaejifanya anajua kumbe hajui starehe anapenda na pesa hana kwasabu pesa hana basi starehe yake kubwa ni ngono ataoa wake wengi au ataoa nakuacha watoto huduma zero

anauwivu na majungu kwa aliefanikiwa wengi wao elimu hawana
Hacha kupotosha
 
Waswahili ni mfano wa watu wa Jf wote waliochangia huu uzi wanatabia za waswahili , uongo uongo mwingi, wote wana magari na hawaishi uswahilini.
 
Rais wa JMT mh Dr Samia ataizindua rasmi Jengo la Ikulu mpya ya Chamwino siku ya 20/5/2023
Hakuna ushwahili kwa JPM
 

Ushwahili Ndio kama huu๐Ÿ–•๐Ÿ–•
 
Waswahili ni mfano wa watu wa Jf wote waliochangia huu uzi wanatabia za waswahili , uongo uongo mwingi, wote wana magari na hawaishi uswahilini.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kaka punguza jazba bas
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ase
 
๐Ÿคฃ๐ŸคฃMwenzio anaona life kalipatia tayari๐Ÿคฃchezeya mitoko ya samaki samaki,vidimbwi, Hyatt,bahari beach etc
 
Ni mtu wa hovyo kupata kuwepo duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ