Neno moja kwa mmiliki

Kama ukiwa wewe ni panya; basi paka weusi ni mkosi kwako. Utaliwa tuu.
 
Yeah. Mara nyingi au tuseme kwa wengi tatizo linakuwa Kichwani -Akilini mwetu zaidi kuliko uhalisia wa jambo lenyewe..
 
Duniani kuna mengi sana lakini kwanini tujiwekee vitu kichwani kama uchawi

Ila mimi sijatumbukia kwenye wimbi hilo
 
Unatakiwa umshukuru Mungu.
Namuomba Mungu kila siku
Unajua mzee Wetu sisi bado wadogo alikuwa anapinga sana haya mambo
Na alikuwa anadiriki hata kuwapiga watu wanaojulikana kama wachawi
Kwa hiyo tangu udogo nikawa siamini kabisa haya mambo
Huwa naona kama hadithi
 
Oh! Wewe hukumwelewa mzee wako. Kama alikuwa anawapiga manake alikuwa anajua wachawi wapo na ni watu wabaya. Ila kama alikuwa anawapinga manake hakuamini uwepo wa watu wachawi.
 
Kweli kabisa alikuwa anawachukia mpaka tunasema mshua anawajua vizuri hawa na hawaogopi
Na hii ilitufanya watoto wenzetu wakisema, wewe utarogwa tunawaambia waache waroge nao watakufa 🤣🤣
 
Yes. Mambo ya "Kutesa ni kwa zamu tuu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…