Thats why ni muhimu sana kufanya ibada ya kutakasa makazi na ardhi
Hahhhaaa mkuu utakimbia mpaka mara ngapi? suluhisho ni kupambana... tu!Hahahaha nahama hapo nazila napaacha kabisa humo hamna usingizi
Kabisa mkuu...Akikimbia watamfuata
Hutalala umo ndani nakuambia brother kwa hali hiyo nunueni plot za governmentHahhhaaa mkuu utakimbia mpaka mara ngapi? suluhisho ni kupambana... tu!
Usiogope? amini tu!(in apostle voice)Hutalala umo ndani nakuambia brother kwa hali hiyo nunueni plot za government
Mkuu, we si umeokoka. Sasa hizi picha kwa nini hutaki kuzifuta kwenye kifaa chako😂