Neno moja kwa huyu mhenga wa Pemba

Neno moja kwa huyu mhenga wa Pemba

Mzigo+egeme+jitihada
Nyenzo daraja la tatu hilo 😀😀 😀😀😀
 
tumbo limejaa ubwabwa hilo, wanapenda wali hao?
 
hao jamaa wanyime chochote ila usiwanyime ubwabwa. ukitokeaga msiba mkapika ugali, unabaki wote. ila wali?hahahaha.
 
Back
Top Bottom