Tatizo la Chila ni mibangi na unga full stop
Kipaji kipo sana tu sema amekuja wakati ambao naweza kusema sio sahihi sana
Hivi sasa wasanii kibao wanaogopa kuachia kazi zao sababu zitapitezwa na hizi team mondi na team kiba
Yaani wapenzi wa muziki hivi sasa wanachoangalia ni Chibu kafanya nini au kiba atafanya nini, hawaangalii tena uzuri wa kazi bali kutetea alivhofanya msanii wa team yake
Wanjera ni zao la ubovu wa ushabiki wa ki team, na hivi Chila ana bifu na Chibu kwa kudai Chibu alimtaja ili kupata kiki basi ni shida
Video hii itaishia kapuni na hata faidi kabisa matunda ya kazi yake nzuri