Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa Dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko nae au Yuko mbali mshaachana nae,kupitia uzi huu nimeona sio busara kuwasahau Hawa watu mhim katka maisha yenu.
Wakumbuken kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu
Karibuni: