jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
you know hili neno "mkuu" humu jf limewapa nguvu na heshima wanawake humu mana kila mtu anaitwa mkuu bila kuzingatia jinsia yake.
kuna mdada mmoja humu alisema anafurahia sana akiitwa mkuu anajihisi nae anamamlaka na hadhi ya juu.
humu hawaitwi mademu au jina lake utaskia tu "sawa mkuu" aidha hadi majikeshupa na matomboy wanafurahia sana jina hili ambalo linaleta usawa wa kijinsia na ladha flan humu ndani.
wanawake jf huongea kwa nafasi zao na kwa uhuru kama wakuu wote ndani ya jf.
ila tunakumbusha jina hili lisitumike kuleta jeuri na ukiburi mana wakati nalianzisha mimi jimmy jimble nia yangu ilikua kuleta usawa tu.malediizii u know malembebez wakuu tupo pamoja.salute