maxime JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 2,233 Reaction score 1,320 Jan 14, 2017 #21 Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Kwenge kwapa zinaitwaje??
Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Kwenge kwapa zinaitwaje??
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,507 Reaction score 10,715 Dec 22, 2018 #22 aisee kumbe
Bana Balume JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 999 Reaction score 2,728 Sep 6, 2020 #23 Hilo neno vuzi au mavuzi limetokea kwenye neno la kingereza ambalo ni *fuzz* "Fuzz is a frizzy mass of hair or fibre." Kwa kiswahili ni mkusanyiko wa nywele Ndipo wabongo tukatohoa kupata neno vuzi au mavuzi
Hilo neno vuzi au mavuzi limetokea kwenye neno la kingereza ambalo ni *fuzz* "Fuzz is a frizzy mass of hair or fibre." Kwa kiswahili ni mkusanyiko wa nywele Ndipo wabongo tukatohoa kupata neno vuzi au mavuzi
Pastory Kimaryo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 967 Reaction score 672 Sep 6, 2020 #24 Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Dah, hiyo malaika ndo nilikuwa siijuagi
Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Dah, hiyo malaika ndo nilikuwa siijuagi
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,982 Sep 6, 2020 #25 Aisee..kumbee!