Neno 'mavuzi' limetoka wapi?

Hilo neno vuzi au mavuzi limetokea kwenye neno la kingereza ambalo ni *fuzz*

"Fuzz is a frizzy mass of hair or fibre."

Kwa kiswahili ni mkusanyiko wa nywele

Ndipo wabongo tukatohoa kupata neno vuzi au mavuzi
 
Back
Top Bottom