Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

Mm nimeachwa leo....nimetumiwa gazeti..sio message ile...na maneno mbofu mbofu....life goes on with or without someone
 
Ilikuwa ni tarehe 25. July. 2012 majira ya saa tano hiv asubuh nikiwa nyumbani Mwanza, alinitext sikumuelewa alichokuwa anataka nimuelewe, nikampigia nilipomuuliza akanijibu, "Unajua nini, nataka tuachane, sikupendi tena wala sina future na wewe na sipendi nikusaliti". Siku hiyo niliomba msamaha kwa kosa nisilolijua, nilipata tabu, nilikuwa juan navuta spid ya kuoga, ghafla nilipatwa joto la ajabu.

Nakumbuka siku hiyo nyumban hata sukari tu kwenye uji haikupatikana, tulikunywa uji wa bila sukari, huku bibie yupo chuo nasubir arud mwaka wa pili huo tutambulishane kwa wazazi, nikaja kusikia kumbe alipata Eng, chuo cha jiran yao, chuo cha Mandela Arusha. Niliteseka miaka miwili nikiwa nina iman ipo siku atanirudia tuwe wapenzi, kumbe alishapewa na ujauzito akazaa. Huwa siisahau hii siku, kejeli zake ingawa zilikuja kunijenga sana. Nashukuru sana mdada ex.
 
Kaka pole sana. Mimi ndo kitu ninachoogopa mpaka leo. Mungu naomba yasinitokee.

-callmeGhost
 
nakumbuka alivyikuwa anakuja pale chuo kunitembelea nikimuona najiambia moyoni you are mine forever..marafiki zangu walimpenda na kunisifia nae ..lakini mwisho wa siku Engineer wa kipare akaona hawezi tena kupika chungu kimoja na manka..niliumia sana maana kila saa nikisikia jina lake ,,uwiiii ..nashukuru Mungu nimezoea sasa wala nikisikia hata mshipa wa tako hauchezi tena...hahaa..SHIKAMOONI MAINJIA WOTE..HAKIKA HAMNA UPENDO WA KWELI...HATA MPENDWEJE,,,
bila shaka ulimpa 0713
 
mbona mpaka sasa saa mbili usiku hujarudi nyumbani na wewe ni mke wa mtu?SIKILIZA JIBU KWANI MKE WA MTU ANAALAMA!hili jibu limefanyakazi nyingi zimeshindwa kufanyika sijui nifanyeje so sad r.i.p my mama
 
yule bwana alipata mwanamke mwingine ambae ni wife wake now so alitaka kuniacha nikawa namlilia ndo akawa amenitext hivo ila cha ajabu akawa amenirudia ila mahusiano yakawa magumu tukaja tu kuachana kwa amani .ila nilikuwa nampenda sana na kumjali .ila ndo watu kama Mungu hatowalipia sijui kwa kweli. ndo alikuwa mpenzi wangu wa kwanza na wa mwisho maana toka hapo sijawai kuwa na mpenzi tena yaani
Kati ya wewe na mkewe nani anachura?
 
Dont waste your effort your too young
please stay away from me
naambiwa hayo maneno hapo nimetoka mfumania aki wanaume ni moto wa gas
 
Hizo ahadi za 'your my life' aisee sijawahi, ni hizi za kawaida kawaida tu.
Mm ukinipa ahad kama izo uwa nazikataa mapemaaa sababu mm sio maji wala chakula nazikataa mapema kabisa cha kufia nn bwana
 
Wana jamvi salaam ....

Ninauanzisha huu uzi si kwa kusudio la kutukumbusha "machungu, simanzi, maumivu" nk ambayo tuliyapata tokana na neno/maneno "makali" toka kwa wale tuliowapenda sana .....

bali ni kutumia huo UZOEFU tulopitia ili kujifunza .... we always learn from one's life experience .... and for that we become perfect ...
Hatuwezi kuwa pamoja kwa sababu ww ni mpole Sana,
Niliumiaje na nilishangaa pia
 
Ilikuwa ni tarehe 25. July. 2012 majira ya saa tano hiv asubuh nikiwa nyumbani Mwanza, alinitext sikumuelewa alichokuwa anataka nimuelewe, nikampigia nilipomuuliza akanijibu, "Unajua nini, nataka tuachane, sikupendi tena wala sina future na wewe na sipendi nikusaliti". Siku hiyo niliomba msamaha kwa kosa nisilolijua, nilipata tabu, nilikuwa juan navuta spid ya kuoga, ghafla nilipatwa joto la ajabu.

Nakumbuka siku hiyo nyumban hata sukari tu kwenye uji haikupatikana, tulikunywa uji wa bila sukari, huku bibie yupo chuo nasubir arud mwaka wa pili huo tutambulishane kwa wazazi, nikaja kusikia kumbe alipata Eng, chuo cha jiran yao, chuo cha Mandela Arusha. Niliteseka miaka miwili nikiwa nina iman ipo siku atanirudia tuwe wapenzi, kumbe alishapewa na ujauzito akazaa. Huwa siisahau hii siku, kejeli zake ingawa zilikuja kunijenga sana. Nashukuru sana mdada ex.

Polee
 
sijawai kuona mwanamke mbaya kama yule

Wanaume bwana.. Mi ex bf wangu ananiambia kabisa mwanamke aliemuengage ni mfupi mbaya anaweza muharibia watoto ila anamuoa sababu tu ana mimba yake. Nilifurahi kidogo maana kaniacha mwanamke nina kila kitu (sijisifii) kaenda oa mwanamke ambae am sure atamcheat sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom