Neno la mungu lasema: Ukweli kuhusu maandamano

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Ukweli jamani umeona mambo mengi sana katika suala la utetezi wa haki za binadamu, mfano mapinduzi ya nguvu za wanachi Misri, hata yanayoendelea Libya na chini zingine! Ukweli haya yote siyo tija kabisaaaaaaaaaaa katika ulimwengu wa Kiroho, na katika hili ni kwamba hata kama watachaguliwa viongozi wengine wema na bora zaidi bado kitaonekana tu kile kilichopo ambacho ni DALILI ZA SIKU ZA MWISHO! Namalizia kwa kusema kwamba hata kama nchi zote zitafanya mapinduzi ya kiuongozi amani haitakuwepo badala yake vita migogoro na majungu ndiyo vitazidi zaidi!

OMBI
Tumuombeni Mungu atuokoe na balaa iliyombele na pia tukae tayari kwa ujio wake Yesu Kristo!
Mungu akubarikini!
 
Hapo kwenye red sikubaliani napo hata kidogo.
 
Haya ni masuala ya kiroho zaidi so yana majibu mawili tu ndio au no kama ilivyo kwa Yesu na shetani lakini ukweli utajulikana siku ya siku!:pray:
 
Back
Top Bottom