Neno la MUNGU kwa leo

God's word is treasure worth laying up, and there is no laying it up safe but in our hearts, that we may oppose God's precepts to the dominion of sin, his promises to its allurements, and his threatenings to its violence. Let this be our plea with Him to teach us his statutes, that, being partakers of his holiness, we may also partake of his blessedness.
 
Zaburi 119.9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake ni kwa kutii akilifuata neno la MUNGU mbarikiwe Amen

Halafu tuendelea mbele kwenye hiyo hiyo Zaburi 119, aya ya 105 inasema: Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.

Ndugu zangu Neno la Mungu Ndio Mwanga wetu, na inafahamika kuwa Yesu Kristo Ndie Neno na alikuwepo kabla ya kuumbwa Dunia. Basi tuendelee kusoma Neno ambalo ndilo uhai wetu.

Naamini katika NENO, na Neno linatasafisha njia Zetu kama tukiishi katika Neno.
 
God's word is treasure worth laying up, and there is no laying it up safe but in our hearts, that we may oppose God's precepts to the dominion of sin, his promises to its allurements, and his threatenings to its violence. Let this be our plea with Him to teach us his statutes, that, being partakers of his holiness, we may also partake of his blessedness.
Mithali 17
Rather poor that walketh in his integrity than a transgresor of the lips and is a fool
 
Halafu tuendelea mbele kwenye hiyo hiyo Zaburi 119, aya ya 105 inasema: Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.

Ndugu zangu Neno la Mungu Ndio Mwanga wetu, na inafahamika kuwa Yesu Kristo Ndie Neno na alikuwepo kabla ya kuumbwa Dunia. Basi tuendelee kusoma Neno ambalo ndilo uhai wetu.

Naamini katika NENO, na Neno linatasafisha njia Zetu kama tukiishi katika Neno.

Nimesoma mkuu god bless u
 
Nimelisoma mkuu god bless u
 
Pia hili nalo lafaa warumi 10.15 kama ilivyo andikwa,Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
 
Ndg zangu wapendwa maandiko matakatifu yanatuonya mahal pengi tuwe makini nyakati za mwisho kwa mafundsho na elimu za uongo n.k lakn soma hapa: Wakolosai 2:1-10
2:4 Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kushawishi....,.
2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu...
Tuma kwa watu wa 5 ujumbe na Mungu akubariki!!
 
Mungu ndiye achunguzaye roho na kuvichunguza viuno hivyo ukiguswa na roho wa mungu atakuongoza lipi la kulifuata
 
Ndg zangu wapendwa maandiko matakatifu yanatuonya mahal pengi tuwe makini nyakati za mwisho kwa mafundsho na elimu za uongo n.k lakn soma hapa: Wakolosai 2:1-10
2:4 Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kushawishi....,.
2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu...
Tuma kwa watu wa 5 ujumbe na Mungu akubariki!!

Amina na Mungu awabari wote mlio toa Neno lililo kamilika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom