Mungu wetu ndio mwenye enzi yote na kwake kila goti litapigwa ...hakuna mtu awaye yote aliye mkuu kuliko yeye....Ukiachana na neno hili zuri na muafaka kwa kipindi hiki cha wenzetu wakristo ambao wanatafakuri mateso ya bwana Yesu kristo na kufunga, Hujawai acha kunishangaza bwana Mshana Jr, Neno unalijua, uchawi na ndumba wazijua... hakika unajua kunichanganya ndugu yangu katika yote..
Nimebarikiwa na hili neno[emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Malaika wako husimama mbele kidogo ya ule mstari wako wa kukata tamaa akisubiri uuvuke ili adhihirishe muujiza wa Mungu juu yako. Ukifika ile hatua ya kukata tamaa, usiachie hapo, tembea mbele tena kidogo ,[emoji1545][emoji1545]
Chini ya mbingu ya kaisari tunampa kaisari....Neno linatuasa tuwe na kiasi kwa kila jambo ...kwakuwa kuna matendo ya roho lakini pia kuna matendo ya mwili... Mungu akubariki MonielUliwah anzisha Uzi wa wanywa pombe na walevi
Nikisoma story yako nafahamu chanzo Cha yote ilitokana na pombe/ ulevi Hadi wakaanza kupigana
Pombe is too bad
Mwambie huyo.. hapo bado hujakutana na pisi kali mtoto jicho jicho! Bado hujakutana na kale ka balimi a.k.a kaondoa seteresi..! Na dhambi zilivyo huwa zinaalikana ukianza unzinzi itamualika uongo! Ikija pombe itamleta uzinzi n.k..Jinsi ya kulitunza hilo shati lisichafuke ni shughuli pevu kwenye hii dunia iliyojaa vidimbwi vya tope na utelezi wa kutosha kazi ipo.
Hili pepo ulilonalo likashindwe kwa jina la YesuMwambie huyo.. hapo bado hujakutana na pisi kali mtoto jicho jicho! Bado hujakutana na kale ka balimi a.k.a kaondoa seteresi..! Na dhambi zilivyo huwa zinaalikana ukianza unzinzi itamualika uongo! Ikija pombe itamleta uzinzi n.k..
Vidimbwi vingi sana..[emoji1787]