hadi mkeo?mwanamke pekee aliye na ridhiko la nafsi , asiye na wasiwasi , asiye na mshawasha kwa 200% ! Roho kumtanga kwamba mumewe yuko wapi , anafanya nini , ni mjane tu!waliobaki wote ni hauchi - hauchi unakucha!mguu nje - mguu ndani !koroboi pipa - utambi brangeti !.
lol kwel samaki ana mengi ya kuongea lakini....ndiyo , nae hajawa mjane! Ingawaje domo limenijaa mate.
Ndiyoooo!
Inakuhusu
Mwanamke pekee aliye na ridhiko la nafsi , asiye na wasiwasi , asiye na mshawasha kwa 200% ! Roho kumtanga kwamba mumewe yuko wapi , anafanya nini , ni MJANE tu!
Waliobaki wote ni hauchi - hauchi unakucha!
Mguu nje - mguu ndani !
Koroboi pipa - utambi brangeti !.