Neno kwa viongozi wa UKAWA

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
"Ikitokea siku mnaingia Ikulu basi katika shukrani zenu msiache kuitaja JamiiForums maana nina hakika ina mchango mkubwa sana"

Jambo lingine:

" Kwa bahati mbaya ikatokea(mungu apishie mbali) kiongozi yoyote wa mtandao huu au member yoyote alietoa jambo zito na kwa bahati mbaya akawa jela,basi Raisi huyo kupitia UKAWA jambo la kwanza baada ya kuapishwa iwe ni kutoa msamaha kwa wapambanaji hawa"
 
Tanzania hakuna cha ukawa wala nini, kila mtu mchumia tumbo lake! UPINZANI WA KUPINGANA WENYEWE, kuhusu kuingia ikulu ndo kabisa, kwa mwendo huu nadhani ndo wanazidi kurudi nyuma
 
Kwa sheria hizi za uchaguzi, tume na katiba hii mtaendelea kuota UKAWA kuingia Ikulu kitu ambacho hakitakuwa!!
 
Hiyohiyo mliyogeuza ukumbi wa mikutano ya ccm,kutia wahamiaji haramu kwe viroba na kuwatupa ruvu,na genge la walipa visac kwakua mlikosa kura mkatawalishwa na lubuva. Au mmeanzisha nyingine tucyoijua? Manake matamko yanatoka tu utadhani kila uchochoro una ikulu yake na raisi wake.nitanzania tu hakuna kwingine kkte duniani.mkuu wa mkoa fukuza machinga,raisi machinga acguswe,raisi wanafunzi vilaza,wzr anachanja mbuga na kauli yake mweee jama ! Tumwamini nani? ama kweli ccm hoi hata kauli mnapotana.
 
Back
Top Bottom