Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
mkuu bora aseme unakibamia ila unanifikisha sana tu mbaya kusema KWANZA HATAKUNIFIKISHA HUWEZIAaaah hayo yote hayaumi ila kidume akiambiwa ana kibamia ***** ni noma...
mkuu bora aseme unakibamia ila unaniikisha sana tu mbaya kusema KWANZA HATAKUNIIKISHA HUWEZI
kiongozi, KUNIIKISHA ndo nini?
Neno gani linauma na kuchoma zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati?
1. Tuachane.
2. Sikutaki tena.
3. Nimepata mwingine.
4. Mbona king'ang'anizi wewe.
5. Sikupendi.
6. Wazazi wangu hawakutaki.
7. Siwezi kuwa na wewe .
8. Kama nilikosea njia tu.
9. Huna mvuto.
10. Najuta kuwa na wewe.
Kati ya hayo maneno lipi ukiambiwa kinakuchoma kumoyo?
Aaaah hayo yote hayaumi ila kidume akiambiwa ana kibamia ***** ni noma...
aseee kweli
namba nne
Hayo yote nimeshayazoea, siumii hata,