Unajua kizungu, na kutumia Google? Maelezo yapo pale.Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Inataka urudi chekechea kusoma Alphabets kwanza 😂😂😂😂😂Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Toka lini gari ya Push Start ikawashwa tena na funguo? gari za nchi gani hizo?Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Anti lock, braking systemABS maana yake ni Automatic Break System
Maneno yako yana mushkell ....Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
Hizo Gari anatengeneza mtu anaitwa Babu Magomeni pale zimejaa Hizo gari sensa nyingi na vina bei kwa bongo wengine huchukua maamuzi ya kuagiza spea nje its cheap kuliko kununu kwa waganga njaa bongoTouareg 2007 mkuu