Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Yes .
Haiwezekani leo Karne ya 21, dunia inawaza kuishi angani lakini wapuuzi wachache kwa ujira mdogo wanaua Watanganyika wenzao wakidhani wanalinda amani .
Mtu ananuka madeni , kadi yake ya kupitishia mshahara iko kwa muha kisa laki 2 ya kula anapewa laki 3 from no where anaua Watanganyika wenzake.
Mimi sitaandamana, ila mtakaoandamana Mungu awabariki. Najua wengine mtarudi ganda ila mtakaorudi salama kwenye nchi yetu ya Tanganyika tutawapa vyeo kama pongezi.
Wale wa 78/79 waliokufa Uganda walikuwa malofa. Walikwenda kupigania non sense. Yaani Nyerere anakujaza upepo unakwenda kufa nchi ya watu .