[h=5]
[/h]Mtoto alirudi mapema kutoka shule:
Baba:hee!!?Mbona umewah kurudi saiz kuna nini tena!!
Mtoto:Mwalimu kanifukuza
Baba:Kwanin?!
Mtoto:Eti nimeshindwa kutaja KAMPALA iko wapi.
Baba:Kila siku nakukataza usichezee vitu vya watu haya KAMPALA ya mwalmu iko wap?