domo bwakubwaku
Member
- Mar 2, 2011
- 86
- 29
Hatimaye mtumishi huyu anafikia tamarind katika utumishi wa umma baada ya kustaafu. Atakumbukwa kwa mema na mabaya pia
....ameishi miaka mingi uongozini hadi kucha/nywele/ndevu/meno/..etc. vimekuwa na ubutu wa sirikali...
eti yule kamanda wa polisi wa zamani aliyetaka kuingia kwenye siasa yuko wapi?
Ruta aliomba mwenyewe apumzike. Ni mchapa kazi. Kila alipoenda alisafisha. Ardhi amewanyoosha.
Hatimaye mtumishi huyu anafikia tamarind katika utumishi wa umma baada ya kustaafu. Atakumbukwa kwa mema na mabaya pia
Kweli huyo Patrick Ruta bora ameomba kustaafu ila pia nina wasiwasi alijua atatemwa hivyo kajifanya kuomba kustaafu. Fisadi papa hili. Si ana kashfa ya viwanja fake huyu? Tena anatakiwa afunguliwe mashtaka ya kuhujumu rasilimali ardhi!!!
Aliyekuambia atakaa nyumbani nani?anakuwa mbunge wa kuteuliwa na Kuwa waziri wa mambo ya nje.President 2015 100 percent utanitafuta Natalia
Ruta aliomba mwenyewe apumzike. Ni mchapa kazi. Kila alipoenda alisafisha. Ardhi amewanyoosha.