Surupwenye
Member
- Jan 29, 2015
- 7
- 2
Habari wana Jf?
Ni siku nzuri na ya pekee sana huwa tuna iita jumapili .
Kiukweli nimeamini kweli mapenzi yana nguvu sana pale tu unapo tokea kumpenda mtu kwa dhati pasi kujiegemeza kwa uzuri wa sura, mavazi , pesa , nk .
Tarehe kama ya leo mwaka jana ni siku ambayo katu sitokuja kuisahau ni siku ambayo mpenzi wangu ninaye mpenda alinikubalia ombi langu na hii tarehe ndipo nilipo ambiwa neno zuri ambalo kwa sasa hata siitaji kulisikia kutokana na huyu mwanamke niliye mpenda kuto taka kunipenda tena na hii imetokana na umbali tuliokuwa nao nahisi hili ndio tatizo kubwa kwa upande wake .
Na ameniomba tubaki marafiki tu sina jinsi ya kufanya na sijawahi kuumizwa au kuhisi kuumia juu ya mapenzi na kwa mala ya kwanza sasa kupatwa na haya maumivu na kikubwa zaidi kinacho niumiza ni kutokuniheshimu napigia simu anakata sms hazijibiwi na nimepata taarifa kuwa kunajamaa anafanya yake na soon wanafunga ndoa .
Ujumla wa haya niliyo yaandika ni moja ya njia ya kupunguza msongo wa mawazo najua Mungu yu pamoja nami na kiroho safi mpenzi wangu D.... We nenda tu .