-Usije nitangaza kwa rafiki zako naheshimiana nao
-we chungulia tu utapofuka (wakati anachojoa)
alafu et baada ya hapo anakuachia umalizie Pichu.
-unakujaga na nan huku umepajuaje!
Unaweza kuongea nae kwa simu akakwambia ndio nachukua boda,kidume unajikoki unajua dkk 5 mchuchu yupo ndani unasubir zaid ya lisaa ndio anapiga anakwambia chukua ongea na boda umuelekeze
Sent using
Jamii Forums mobile app