Nenda katafute pesa chalii

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
usijekuishia kupupu siku hizi mpango mzima ni umeingia bank mara ngapi kwa mwezi

 
Mwili wenyewe kama anakula cement!? bange hizi!!
 
Mbona amefanana na superstar mmoja wa mikanda ya x!!! Au ni mwenyewe.
 
Duuh!!! Hayo mazoezi yamevamiwa..huko ni kujitanua misuli au kujiumiza?
 
kwaiyo majogooo za mtani kwingine azikojoi mtaani kwetu hapa!
huyu dogoookumanga
 
kaaaaaaaaaaaaaaz kweli kweli........

yote hyo kuwaimpress`wadada.......lol
 
kwa mwili huo badala ya kumwomba mungu amwepushie matatizo yeye anatafuta sababu ya kujikill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…