Nemo lako ni taa ya miguu yangu.

miaka ya nyuma nilikuwa karibu na Mungu, kusoma bible kuhudhuria church, ila saivi sijui nimepatwa na nini MAOMBI YAKO MTUMISHI NI MUHIMU.
 
Najisikia kupaa niutwae utukufu ulio juu.
 
Neno lako ni taa ya miguu yangu
Na ni mwangaza wa njia zangu kila siku
Zab119:105
 
Zaburi 121 huwa naipenda sana hasa anaposema

"Asiuache mguu wako usogezwe, ASISINZIA AKULINDAYE......"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…