punguza ubishiMleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
we ndo muongoMleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Acha uongo wewe! Hiyo unasemea jengo gani? Ile swimming pool ina urefu gani toka majini? Je ule udongo ulioongezewa ili kupata beach kubwa je? Pamefanyika land reclamation ya zaidi ya mita 30 toka ambapo maji yalipoishia awali. Lory langu lilipata tenda pale usiongee uongo bwanaMleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Godauni la pale mwaloni linavunjwa enheee sema sasa hicho kipimo unakijua wewe tu?Hotel zote za kitalii zilizomo pembezoni mwa bahari or maziwa zina ruhusiwa kisheria na ndio maana zikaitwa beach hotel tatizo lipo kwa nyumba za makazi ya kuishi ndio inatakiwa ijengwe mita 60 toka usawa wa beach or bonde.
beach hotels na magodauni yaliko pembezoni mwa bahari or ziwa yana vipimo vyake ndio maana hata bandari zina magodauni pembezoni mwa bahari.
Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
kuna tofauti kati ya beach, swimming pool na majengo. usikurupuke, zaidi cheki picha hapo juu halafu usome mada vizuriAcha uongo wewe! Hiyo unasemea jengo gani? Ile swimming pool ina urefu gani toka majini? Je ule udongo ulioongezewa ili kupata beach kubwa je? Pamefanyika land reclamation ya zaidi ya mita 30 toka ambapo maji yalipoishia awali. Lory langu lilipata tenda pale usiongee uongo bwana
basi Malaika ni meli iliyotia nanga, siku moja itaelikea Bukobamkuu wewe naamini ndio muongo...malaika imo nani ya maji...hata hiyo 30cm kaipendelea...malaika imo ndani ya maji kwa zaidi ya 5-10metres.
mkumbushe huyu ndugu atakuwa hajaingia malaika penyewe...muambie pale restaurant kuna deck ipo unakaa juu ya maji....mwambie pia huo mfereji uliotengenezwa umeanzia kule mlimani kwenye vyumba na wale kenge wawili wanaozungukazunguka kwenye mawe....pia mkumbushe ile swiming pool inaninginia juu ya ziwa...Rudi tena ukaone pale mlangoni na kwenye glass wall. Kama unaweza angalia chini ulipokanyaga floor ni ya mbao chini yake kuna ziwa Victoria.
kwani sheria ya Nemc inakutaka ujenge ndani ya mita 20 au 30? sheria ni msumenoHapana. Lile si ziwa victoria. kuna mfereji wa maji, tena unaonekana ukiwa unaingia getini, unapeleka maji ziwani. huu mfereji wameutengeneza vizuri na unapitisha maji chini ya majengo kuyapeleka ziwani
Mwanza basi zitavunjwa hotel zifuatazo
Ryans Bay
Tilapia
Tunza
Malaika Beach
Charcoal ribs
Jembe
Just to mention few..
Hahahaha basi sawa we umeamua league ya kijinga endelea tukuna tofauti kati ya beach, swimming pool na majengo. usikurupuke, zaidi cheki picha hapo juu halafu usome mada vizuri
basi Malaikamkuu wewe naamini ndio muongo...malaika imo nani ya maji...hata hiyo 30cm kaipendelea...malaika imo ndani ya maji kwa zaidi ya 5-10metres.
Hiyo ni mada mpyaDragoon ebu jibu na hiyo ishu ya reclamation basi, si tulisogeza ziwa ndani?
Soma sheria ya mazingira ya 2012 utajua hiyo hotel ni jipu tupubasi
basi Malaika
Hiyo ni mada mpya
Unajua mjadala hapa sio sheria? kama wamevunja sheria wabomolewe tu. anza mwanzo anzia thread ya kwanza halafu uje tenaSoma sheria ya mazingira ya 2012 utajua hiyo hotel ni jipu tupu