Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 581
Huo ni uongo mtupu ndugu yangu nyoka akimuua mwenzake anamla nimesha shuhudia live hii kitu, nikiwa kijijini nachunga ng'ombeMkuu naskia nyoka wakipigana na mmojawapo anaona mwezie anakata roho hukimbia haraka kutafuta dawa na kumponya nyoka hiyo. Nyoka ni mponyaji hata Bible Wana wa Israel enzi za muda waliambiwa waangalie sanamu ya nyoka ndio watapona. Wale ambao hawakuiangalia walikufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale "wajuzi" wa mambo, hii alama ya nyoka kwenye nembo ya shirika la afya duniani ina maanisha nini?
Nafikiri alama zozote zina maana yake. Haiwekwi kwa bahati mbaya.
Naona pia alama ya nyoka kwenye noti ya shilingi mia tano ya Tanzania! Sifahamu kama nyoka wa kwenye mia tano ya Tanzania ana maana sawasawa na nyoka wa kwenye nembo ya WHO?
Huyu nyoka anaamanisha nini kwenye nembo ya WHO? View attachment 1441720
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Wamlete atoe tiba kwanza ndipo tumwamini
Kama unataka CORONA VIRUS UPDATE si ungesema tu badala ya kuzunguka mbuyu, acha mafumbo. Fumbo mfumbie mjinga mjanja atang'amua.Wale "wajuzi" wa mambo, hii alama ya nyoka kwenye nembo ya shirika la afya duniani ina maanisha nini?
Nafikiri alama zozote zina maana yake. Haiwekwi kwa bahati mbaya.
Naona pia alama ya nyoka kwenye noti ya shilingi mia tano ya Tanzania! Sifahamu kama nyoka wa kwenye mia tano ya Tanzania ana maana sawasawa na nyoka wa kwenye nembo ya WHO?
Huyu nyoka anaamanisha nini kwenye nembo ya WHO?
View attachment 1441720
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhNyoka ni ishara ya afya njema, kitiba nyoka akimkuta mwenzake kafa uingia pori, nakurudi na tiba ya kumzindua/kumfufua. Nashangaa kuona mahospitali yenye nembo hiyo kujenga na mochwari (chumba cha kuhifadhia maiti). Swali ni je kwanini kwa mganga wa kienyeji, hakuna mochwari, wakati nao uitumia alama hiyo ya fimbo na nyoka?
Kuna ujasusi mwingi sana unafanywa na haya mashirika ya kimataifa, ndio maana ninauliza haya maswali.Alama ya hospital ni fimbo na nyoka.
Alama ya msikiti ni mwezi na nyota.
Pia zipo alama nyingi zikimaanisha uhusika wa kitu au huduma itolewayo.
Alama ya fimbo na nyoka ni alama inayowakilisha utabibu.
Sio lazima nyoka awe anatibu ndo awe alama ya kutibu"
Kwani mwezi na nyota zinamaanisha nn mpaka iwe ndo alama ya msikiti?
Kumbuka hizi nembo huanzishwa/disign na watu ktk jamii, hata hapa kwetu majuzi palikuwa na shindano la kutengeneza nembo ya tanapa.
Ugonjwa utaacha vipi kutoweka katika hali kama hiyo? 😂😂😂😂Zamani Ugiriki ndiyo ilisifika kwa tiba, wenye wagonjwa walipeleka huko na tiba ilihusishwa na nyoka. Mgonjwa aliwekwa kwenye chumba chenye nyoka na walimtembelea usikumzima bila kumdhuru na asubuhi ugonjwa unakua umetoweka.