Nembo ya TRA inamaanisha nini?

Nembo ya TRA inamaanisha nini?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
740
Reaction score
1,024
Za mida?

Niende kwenye lengo thubuti, hivi hii nembo ya TRA huwa inamaanisha ninj yani kama kuna mizani yenye mabano

Alie ifikiria alilenga nini hasa?

Kwa wale wazee wa picha twende sawa picha iyo apo chini

download (1).jpg

Tunajua bendera na rangi zake ni nini kinamaaisha.

Pia tunajua nembo ya taifa inamaanisha nini.

Ila nembo ya TRA wengi atujui inamaanisha nini.

Wenye kujua watujuze
 
Inanikumbusha 'Aku'. Just joking tho'
 
Wanakula pamoja nawe!!!!! TRA Karibu yako.
 
Za mida?

Niende kwenye lengo thubuti, hivi hii nembo ya TRA huwa inamaanisha ninj yani kama kuna mizani yenye mabano

Alie ifikiria alilenga nini hasa?

Kwa wale wazee wa picha twende sawa picha iyo apo chini

View attachment 1626864

Tunajua bendera na rangi zake ni nini kinamaaisha.

Pia tunajua nembo ya taifa inamaanisha nini.

Ila nembo ya TRA wengi atujui inamaanisha nini.

Wenye kujua watujuze
Ina maanisha utalipa kodi kadiri unavyopata no more no less that is tha massage behind
 
Back
Top Bottom