Nembo ya Taifa letu - Bibi na Bwana - ibadilishwe!!!



Oh, Mwanamay, kumbe ilishabadilishwa tangu 2013, baada tu ya kumpata katibu mkuu mpya Kinana.


Kwa hiyo hakuna mgogoro tena!.


 
Halafu kwenye bendera ya Ikulu, ngao inaonesha wale wananchi wawili wametimuliwa kwani hawatakiwi Ikulu ila meno ya tembo yamebaki!!


 
Alaf pia hilo jani upande wa m/mume ni mbangi a.k.a ganja
 
hiyo nguo ni ya kiafrika ya kawaida tu. Ni sawa na hii hapa bila shati alilovaa mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…