Acheni kuanza kutindua historia ninyi. Ulizeni kwanza wazee wa Tanganyika, siyo mnakurupuka tu na hisia zenu za kukosa mada minaanza kuleta uharibifu hapa.
Halafu naona pia kama kuna promotion ya meno ya tembo! Kwa nini wasingeweka tembo mzima!!
Tabby wasichojua ni kuwa nembo hiyo ilishabadilishwa tokae 2013 kivitendo baada ya Chama kongwe kumpata huyo Katibu mkuu waliyenaye.Acheni kuanza kutindua historia ninyi. Ulizeni kwanza wazee wa Tanganyika, siyo mnakurupuka tu na hisia zenu za kukosa mada minaanza kuleta uharibifu hapa.
Kwa nini karafuu na sio korosho,
Kwa nini karafuu na sio pamba,
Kwa nini karafuu na sio alizeti,
Naunga mkono hoja, tuibadilishe ili "tuitumie fursa kutangaza vivutio" kwanza huyo mama hata wilaya hapati anawakilisha nini sasa.
Ha ha ha ! jamani watu mno vituko! Ilanaunga mkono hoja meno ya tembo yaondolewe kwenye nembo.Tabby wasichojua ni kuwa nembo hiyo ilishabadilishwa tokae 2013 kivitendo baada ya Chama kongwe kumpata huyo Katibu mkuu waliyenaye.
View attachment 235221
Tabby wasichojua ni kuwa nembo hiyo ilishabadilishwa tokae 2013 kivitendo baada ya Chama kongwe kumpata huyo Katibu mkuu waliyenaye.
View attachment 235221
Tabby wasichojua ni kuwa nembo hiyo ilishabadilishwa tokae 2013 kivitendo baada ya Chama kongwe kumpata huyo Katibu mkuu waliyenaye.
View attachment 235221
Kila mtu akija na hisia zake si kila kitu kitabadilishwa?,we kiache ti kama unavyokiona