Nembo mpya ya Tanzania

Nimeipenda hii nembo mpya. Ila hao jamaa wanaochukua chao mapema ilifaa wawe wamevaa suti ikimaanisha waheshimiwa wakipora mali za nchi.
 
Hao waliochukua Pembe za Ndovu wametumwa na Kinana nini? Hahahahahaaaaaa
 
Tanzania tumebweteka sana ndiyo maana Laana imetusibu!! msikini jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…