Nemanja Matic bado ni bora zaidi ya Tiemoue Bakayoko

Nemanja Matic bado ni bora zaidi ya Tiemoue Bakayoko

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Wote ni Viungo wakabaji ila kwa upande Wangu bado Nemanja Matic ni bora zaidi ya Bakayoko,Bakayoko raia wa Ufaransa akikipiga Chelsea anakaa sana Chini akishindwa kupandisha timu kushambulia tofauti na Matic ambaye kumkuta akicheza kama kiungo mshambuliaji ni rahisi anapenda kutembea na mpira kwenda mbele pia Bakayoko ni mzito tofauti na Matic anamiguu mepesi chenga anapiga Pia Matic anauwezo wa kupiga pasi ndefu na fupi kwenda mbele pasi hatari za magoli/killer passes huku bakayoko akipiga pasi za pembeni sana.

Ni mawazo yangu tu
1507049335959.jpg
1507049345185.jpg
 
atabadilika tu taratibu wakati huo chelsea kashasahau kama kuna ubingwa epl
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom