Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Hakuna cha Udini hapo Mzee Mandela alikuwa mtu mwenye kupigania Haki za Binadamu. Mzee Mandela hakuwa mtu stupid kama watu wengine wenye Udini Mwenyeezi Mungu amlipe kwa yale aliyoyafanya ameen. Mdini labda wewe Mbongo Architect E.Mnasikia harufu ya udini