Nelson Chamisa kuapishwa na wananchi .

Nelson Chamisa kuapishwa na wananchi .

Kwanza ni nani huyo apendwe na kila mtu amekuwa pesa?
Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu
 
Yale yale ya Odinga..... Halafu baada ya wiki mbili tutasikia amepatana na Mnangawa
 
wakati huowatu wameshaumia wameshakufa na kupotezeana muda hawatawakumbuka hatakidogo wao wanakula kuku nyie mnakula vumbi daaa siasa nomaaa
 
Yaani Siasa sometimes ni upumbavu tu mkuu
 
Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu
Hao ni wale wale kina odinga besgye hawana madhara kama nyoka wa bujora makumbusho
 
Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu
Uoga ndio dhambi kubwa kuliko zote
 
Back
Top Bottom