William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nyumba zao wanauza bei sana kiasi kwamba mvuvi wa Mtera hawezi kununua labda kama awe anauza samaki haramu.
- That is not the purpose!!
Es!
Tueleze kwanza kwanini uliituingiza kwenye utapeli wa kazi majuu? Wacha fyongo zako!!!- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.
- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!
- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?
Es
Tueleze kwanza kwanini uliituingiza kwenye utapeli wa kazi majuu? Wacha fyongo zako!!!
Tueleze kwanza kwanini uliituingiza kwenye utapeli wa kazi majuu? Wacha fyongo zako!!!
Tueleze kwanza kwanini uliituingiza kwenye utapeli wa kazi majuu? Wacha fyongo zako!!!
Wewe andika Kiswahili kama lugha za watu huzijui. Quit finagling concepts out of a dilapidated azzbackwards lazy direct translation.
That is not the purpose maana yake nini in this context?
What is not the purpose?
What is the purpose?.......
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.
- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!
- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?
Es........
tumpe nssf aondoe uharo uliopo........
- I know, angalau yeye halipii kadi ya Chadma na CCM kwa wakati mmoja!!
Es!
Sioni uhusiano kati ya Slaa kulipia kadi ya CCM na Mchechu. Mbona kila kitu mnataka kukiweka na siasa?
- I know ni Kristmas sasa so pale dukani unapofanya kazi umezidiwa sana hasa ile section yao ya chupi za kina mama, pole sana huku bongo ni tambarare joto kwa wingi na leo tunajimwaga kwenye Koffi Olomide Leaders Club.
Wwe hangaika na snow na mabaridi hayo, huku tambarare sana hata mimi ningekwua kwenye hayo mabaridi ningekwua na hasiara sana na watu nisiowajua huku JF!!
ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Es!
acha 'bangi' za asubuhi. Shirika la nyumba za matajiri. Unasifia matajiri