Neema ya Babu yafikisha AIRTEL Samunge kijijini..................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neema ya Babu yafikisha AIRTEL Samunge kijijini.....................

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 14, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya simu baada ya kampuni ya simu ya Airtel kuzindua mnara wa mawasiliano kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani, Jumanne. (Na Mpigapicha Wetu).  [​IMG]
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  Hivi bila ya Babu hawa AIRTEL ni lini wangelikanyaga kijijini Samunge............................maybe not in my life time................
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu
  iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mikononi ya Airtel hivi karibuni mkoani humo,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha ,Pascal Bikomagu kulia ni DC wa Wilaya ya Ngorongoro Elias akishuhudia tukio hilo. (Picha na Airtel
   
 4. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kupitia Babu kule mambo mengi yatakaa vema, sindio mpango wa
  E.L alivyotaka iwe akamwambia Babu huku usihame na wakikuuliza kwa nini waambie hayo ndio maagizo niliyopewa na Mungu Dah!watu nomaa.
   
 5. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  kweli babu kalamba dume. Ni maeneo mangapi yaliyosahaulika kama huko Samunge ambayo yanahitaji huduma zote za kijamii? Tuendelee kutegemea kuibuka kwa kina babu wengine hadi lini?
   
Loading...