Neema kwa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neema kwa Watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijakazi, Aug 9, 2012.

 1. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Ni dhahiri sasa baada ya serikali kuongeza bei ya vibali vya kazi kwa wageni walioajiriwa hapa TZ mpaka Dollar 2000 za kimarekani kwa kila mgeni mwenye pua moja, waajili wengi watakuwa hawana jinsi bali kuanza kuajili watanzania!

  Mimi nafikiri ni wakati sasa wa kuanza kujipanga na kuacha kulalamika, kazi zinakuja, nimetembelea makampuni mengi kama Tanelec Arusha ambao wanatengeneza Transformers kuna wageni wengi sana na sasa ni lazima watarudishwa kwao tu kwani $ 2000 ni nyingi sana kwa pua, na kupewa watanzania, kwa hiyo kama wewe ni muhandisi au una technical degree yoyote changamka haraka sana, kuna kilimanjaro Biochem ltd hawa wanazalisha ethanol nao wageni kibao kwa hiyo kama umesomea hayo mambo bio... changamka haraka sana, list inaendelea manake kutoka Hi tec jobs mpaka mohotelini kama kuna mtu unamjua ana vigezo mwambie achangamke!
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Hii Nchi siku zote Tunakuwa Tunapoteza Mapato!! Tunaweza Kusema Kila Mwajiri anaweza kuajiri Mtu yeyote ila kama sio raia wa Tanzania Then inatakiwa amlipie fee!! Tena kwa hela ya Kigeni say Hizo dola 2,000!! Na inakuwa ni seheme ya Pato la Taifa!! Wenzetu wanawekeza kwenye Tourism sisi kwenye Labor Market!! Just simple Calculation!! Na tunawatangazia Watanzania wote popote alipo raia wa kigeni anayefanya Kazi watoe Taarifa Uhamiaji na atapata % ya hilo Toza la fee kwa huyo amabaye Hajalipiwa Tozo la ajira!! Count How much we can get in One year!!! (Hii itakuwa Kazi ya Polisi Shirikishi)
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hii inatia matumaini mkuu, tatizo kwa Tanzania yetu, sio sheria, ila USIMAMIZI WA HIZO, hasa ukimuweka asali wa moyo a.k.a MLUNGULA. hapa ndo sheria huwa inawekwa pembeni na wanacheza wanavyojua wao. poor my dear Tanzania, when will you come back?????
   
 4. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sasa hiyo 2000$ ni kwa siku, mwezi au mwaka?
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  pale ubungo kuna eneo kubwa lina viwanda na magodown mengi hasa ya wachina wakiuza tiles na material mengineyo ya ujenzi
  tunaambiwa ni wachache ambao wako nchini kihalali tu wengine wote hawana vibali
  mbali na hayo ukinunua material hawakupi risiti halali ya TRA yenye thamani ya fedha ulizotoa
  wanasema wakiandika hivo wanakatwa kodi kubwa sana
  imagine hawana vibali afu wanaibia pia TRA.
  uhamiaji na TRA mnajua haya au na nyie mnachukua rushwa kutoka kwao ili muwaache? kazi kwenu.
   
 6. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145

  working permit ni for two years
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280

  USD 2000/miezi 12 ni sawa na USD 167 kwa mwezi; kwa kampuni inayozungumzia labda mauzo ya TShs. 2 billion kwa mwezi wewe unaona bado ni nyingi? Afterall hao wageni wakiambia wakatwe hiyo USD 2000 watakuwa tayari kwani kile wanacholipwa hapa Tanzania wanaweza kuweka akiba kubwa zaidi kuliko wangelipwa nchini kwao i.e. life style ya Tanzania ni ya chini ukilinganisha na nchi zilizo mbele yetu kimaendeleo kama SA, Kenya, Zimbabwe kwa uchache
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  cha muhimu hapa tuharakishe vitambulisho vya utaifa na viwe genuine.....
   
 9. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  nafikiri nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hasa kwa zile professions ambazo labda tz hamna au ni ngumu kupata watu kama kwenye Oil and Gas lakini bado naamini kuna wageni wengi ambao wanalipwa sh milioni 2 - 4 kwa mwezi kwa mfano Tanelec wageni wengi wanalipwa eneo hilo au Azam au hata kwenye mahoteli, hivyo kama serikali ikisimamia vizuri watajiuliza mara mbili kama ya kumleta mtu ambaye wanaweza kumpata hapa hapa nyumbani kwa gharama ndogo!


   
Loading...