Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Hatimae serikali imeamua kuwa lipa watumishi hao madai yao yasiyokuwa malimbikizo ya mashahara. Hii ni pamoja na hela za likizo. Takribani 10bn zinatarajiwa kulipwa muda wowote kuanzia sasa.
Je, hii ni kuwalegeza walimu waichague CCM ama ni utekelezaji wa serikali yetu sikivu baada ya kujionea hali ngumu za walimu huko ktk kampeni?
Mungu ibariki Tanzania.
Je, hii ni kuwalegeza walimu waichague CCM ama ni utekelezaji wa serikali yetu sikivu baada ya kujionea hali ngumu za walimu huko ktk kampeni?
Mungu ibariki Tanzania.