CR wa PROB
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 170
- 29
Hongereni sana vijana wa UDSM kwa kupewa kipaumbele, Yani kweli nimeamini ya kwamba SERIKALI MARA ZOTE INAWASIKILIZA WAPIGA KELELE, Yani sisi wengine huku tunadai Faculty allowance toka semista hii ianze hadi leo hii, Na bado kuna fedha ya Special projects ambayo hata haieleewki kuwa itatoka lini. Na kwanza ndio tunakaribia kufunga likizo fupiii!!!!
Hongereni sana enyi wanaharakati wa UDSM kwa mambo makubwa mnayoyafanya kwenye hili taifa letu. Mimi natammbua sana na kuthamini mchango wenu kwani hili hii circular mpya ya boom nyie ndio mlioianzisaha, mimi sio mwanafunzi wa UD ilazao lenu nalikubali sana. Tena nawaombeni sana kuwa mkimaliza masomo yenu hizo harakati MUZIENDELEZE vizuri hata huko makazini muendapo kwani Taifa limepelekwa pabaya na hawa wanaojiita wenye Nchi.
Toka lini huo utaratibu umeanza manake ndo kwanza nausikia toka kwako?!
folen itaongezeka manzese kafuteria
Senetor, plz nione ukishafika nipo hall 50 1st floor tuongee mchongo.
udom mti wny ma2nda ndo unapgwa mawe!znasomeka bila kusaini.mbna vyuo km udom na saut wanasaini kwnza ndo bum linapatkana
mm mwnyw kwa utaratbu wa saiv ni ngum, may b wazaman vyuo vyote bla kujal udsm,udom,sua,saut n.k!zngne ni mbwembweudom tumesaini bum zote za 1st smister.no sign no bum
Hongereni sana vijana wa UDSM kwa kupewa kipaumbele, Yani kweli nimeamini ya kwamba SERIKALI MARA ZOTE INAWASIKILIZA WAPIGA KELELE, Yani sisi wengine huku tunadai Faculty allowance toka semista hii ianze hadi leo hii, Na bado kuna fedha ya Special projects ambayo hata haieleewki kuwa itatoka lini. Na kwanza ndio tunakaribia kufunga likizo fupiii!!!!
Hongereni sana enyi wanaharakati wa UDSM kwa mambo makubwa mnayoyafanya kwenye hili taifa letu. Mimi natammbua sana na kuthamini mchango wenu kwani hili hii circular mpya ya boom nyie ndio mlioianzisaha, mimi sio mwanafunzi wa UD ilazao lenu nalikubali sana. Tena nawaombeni sana kuwa mkimaliza masomo yenu hizo harakati MUZIENDELEZE vizuri hata huko makazini muendapo kwani Taifa limepelekwa pabaya na hawa wanaojiita wenye Nchi.
hall 50 liko wapi mkuu,au unataka kuniteka nin?