Need ushauri

shumbe

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
28
Reaction score
4
wapendwa nepatashefa kutoka nchi za jirani ana malove makubwa na anataka tuwepamoja ilaana watoto ambao amezaa na wanawake tofauti na wa mwisho wame devorce though huwa anawapeleka watu kwa huyo mke ambaye ana mtoto naye w miaka 3. anataka nikaishi naye na kufunga ndoanchoni kwao sasa nishaidieni mawauo hapo
 
mmh! hapo si nitaumizwa sana jamani
 
Sijui sikuhizi mmetokea wapi kuandika hamjui au na nyie mlimaliza primary hamjui andika na kusoma?
Devorce=divorce
Watu=watoto???????
 
si unajua elimu yetu ya kanumba ndugu yangu. hatujasoma international skul
 
kwani kina ugumu gani hapo jamani si wote mi wqsaili na tunawlewa lugha yetu. cha msingi ni kusaidiana kutoa mawazo ya kunisaidia na sio kunisakama jamani lol
 
inafarakanisha fikra kusoma kiswahili kisichoandikwa kwa ufasaha, baadhi ya maneno yameungana. Inamaana ulianza kusoma darasa la tano?

kwani kina ugumu gani hapo jamani si wote mi wqsaili na tunawlewa lugha yetu. cha msingi ni kusaidiana kutoa mawazo ya kunisaidia na sio kunisakama jamani lol
 
Anatumia iphone banaa, ama unaona wivu vile anaolewa na mzunguuu?
Umenikumbusha kina gea habbib wanasemaga ukiona wanawake wenzio walimshindwa wala usione umepata bonge la bwana, nawe utaachwa tu!
kwanza andika vizuri ndio uombe ushauri
ulikuwa unakimbizwa??

Olewa tu ili uje uachike ukizaa na mtoto kufikisha miaka 3.
 
hivi iphone ni tachi skrin ama zina batani?

Mie bado natumia simeni 35.

Anatumia iphone banaa, ama unaona wivu vile anaolewa na mzunguuu?
Umenikumbusha kina gea habbib wanasemaga ukiona wanawake wenzio walimshindwa wala usione umepata bonge la bwana, nawe utaachwa tu!
 
Huyu kusoma sijui kama kasoma maana kama ni iphone nadhani ndio iko na touchscreen nzuri hizi zetu si nzuri ila hatukosei au MULUGO?????
 
Hapa Mleta uzi anajitetea....
kwani kina ugumu gani hapo jamani si wote mi wqsaili na tunawlewa lugha yetu. cha msingi ni kusaidiana kutoa mawazo ya kunisaidia na sio kunisakama jamani lol

Hapa King'asti anajibu....lol
Anatumia iphone banaa, ama unaona wivu vile anaolewa na mzunguuu?
Umenikumbusha kina gea habbib wanasemaga ukiona wanawake wenzio walimshindwa wala usione umepata bonge la bwana, nawe utaachwa tu!

Hapa Kongosho hajakubaliana...lol
hapa umeandika vizuri mbona?...Mie darasa la saba tu, nilikuwa naandika vizuri tu...Haya, unataka kuolewa na pedejee la kikongo ama kizungu?

Mmenipa RAHA sana nyie Kongosho na King'asti...kwa kweli kama nikiambiwa nichague watu wa wakuonana nao hapa JF..i cant wait to meet you two aisee!!
 
Hapa Mleta uzi anajitetea....

Hapa King'asti anajibu....lol

Hapa Kongosho hajakubaliana...lol

Mmenipa RAHA sana nyie Kongosho na King'asti...kwa kweli kama nikiambiwa nichague watu wa wakuonana nao hapa JF..i cant wait to meet you two aisee!!

pacha mi sijalala ujue!uzuri mi huwa nakutaarifu kuwa bado nipo macho!ahahhahahahhaha we naona hujitaki!
 
si unajua elimu yetu ya kanumba ndugu yangu. hatujasoma international skul
kuandika kiswahili vizuri kunahitaji international skul??????. haya ebu rudi kaandike vizuri alaf tukupe ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…