Need somebody

Need somebody

Aiseeeeh...mimi sielewagi sijui bado sijafika huko digital... Hivi huko mtaani na mavyuoni hakuna watu hadi mje mtafute huku vivuli??????

Sorry for you...unahisi hii page unaitendea haki? Unahisi iliwekwa for what ? May be wewe ndio huelewi kwanini unatumia hii page....better ujiarekebishe...shame on you little hell
 
dada Angelita, huwa naipendaga sana hii kauli-mbiu yako humu kwenye love connect, you always spit it out barely straight forward. The same phrase point of comment, on the like-minded posts!

Lakini leo let me pose a simple question for u: Ivi hawa vivuli (including you) waliomo humu si ndio hao hao walioko huko uraiani (including mavyuoni)?? Alafu hebu kuwa honest... Katika maisha yako hujawahi kabisa kupata friends (just ordinary friendship) kupitia hizi social nets ambao leo hii wamekuwa among of ur best friends? mojawapo ya features za social nets ni KUKUTANISHA watu for several purposes.

Au you trying to tell the public kwamba ukimeet na mtu/mpenzi uraiani au vyuoni ndo guaranteed kudumu na uhusiano huo? and you trying to tell the public kwamba watu (vivuli) WOTE waliopo kwenye social nets ni wa-hovyoo when it comes to love/relationship? Nina ushuhuda wa couple 3 ambao wote walimeet kwenye social nets. couple 2 tayari wameshafunga ndoa, couple nyingine ndo wapo kwenye uchumba na wanatarajia kufunga ndoa in April this 2015.

HAKUNAGA formula ya kwamba ukikutana nae mahala fulani eti huyo ndo mpenzi/mchumba/mke/mume/ bora, NEVER!!! Unaweza kumpata kanisani na akawa ni bazazi vile vile (coz hata malaya/wazinzi/wezi/matapeli n.k. nao wanaenda kanisani kama kawa). Unaweza kumpata msikitini na akawa ni firauni vile vile. Unaweza kumpata huko vyuoni/uraiani na akawa ni mnyambisi vile vile. Hali kadharika umu mitandaoni ni hvyo hivyo... wenye nia ya dhati wapo, na viruka-njia & matapeli wapo pia. My key concern ni kwamba HAO WALIOPO HUKO URAIANI/VYUONI NDO HAWA HAWA VIVULI KWENYE SOCIAL NETS. Sio miti wala mawe, bali ni watu hao hao ndo wana-join hizi social nets, period!!

Mpendwa ebu acha hiyo 'conservative mentality' katika karne hii. Don't discourage seekers. Let them try to unfold the luck side of theirs. 'Uchumi wasiukalie'. hehehee

BTW... Don't take LIFE too seriouz, coz it's not permanent. :cool2:

With due respect and without prejudice, I humbly submit!

-Kaveli-

Honestly huyu dada ananikera....kwanza anajua target ya hii page au anataka watu waconnect politics ...Nina shaka na upeo wake hata huyo anaekubali huu mzigo wa kufikiri anashindwa hata kudadafua uhalisia...sikupendi tottaly weak girl ....
 
Sorry for you...unahisi hii page unaitendea haki? Unahisi iliwekwa for what ? May be wewe ndio huelewi kwanini unatumia hii page....better ujiarekebishe...shame on you little hell

Pole Sana mana povu linakumwagika hatari, ukweli unauma mxeeeeeeeew pole na udomo zege wako.
 
Honestly huyu dada ananikera....kwanza anajua target ya hii page au anataka watu waconnect politics ...Nina shaka na upeo wake hata huyo anaekubali huu mzigo wa kufikiri anashindwa hata kudadafua uhalisia...sikupendi tottaly weak girl ....

Pisheeeeeeeeee mwanaume mzima unashindwa kutongoza huko mtaani, unakimbilia mtandaoni lzm unakasoro ww.
 
Aiseeeeh...mimi sielewagi sijui bado sijafika huko digital... Hivi huko mtaani na mavyuoni hakuna watu hadi mje mtafute huku vivuli??????

Kote ni sawa tu,humu na vyuon ni wale wale tu
 
Pisheeeeeeeeee mwanaume mzima unashindwa kutongoza huko mtaani, unakimbilia mtandaoni lzm unakasoro ww.

We mama, hii ni biashara kama biashara nyingine. Kama huipendi pita kando usiwachafulie wengine.
 
We mama, hii ni biashara kama biashara nyingine. Kama huipendi pita kando usiwachafulie wengine.

Alaaaah kumbe biashara????? Mapenzi biashara??????

Kila mtu ana Uhuru wakutoa mawazo yake hapa, Kama nimekukera katapikie huko usinimwagie tapishi lako mxeeeeeeew.
 
Aiseeeeh...mimi sielewagi sijui bado sijafika huko digital... Hivi huko mtaani na mavyuoni hakuna watu hadi mje mtafute huku vivuli??????

Mtaani kabla ya chuo aliwaza elimu, hivyo nafasi ya kupendezwa kimahusiano ikawa ndogo hatimaye hakuona wa kumfaa kama walikuwepo. Akiwa chuo aliwaza zaidi masomo na ikazuia kumpenda mtu kwa dhati kama nako walikuwepo. Aliporudi mtaani kutoka chuo mambo yakawa yamebadilika; baadhi hakuwakuta single tena, na wengine sio chaguo lake tena kutokana na mabadiliko kimtazamo. Kama umebahatika kuyamaliza mtaani, chuoni, au kazini shukuru!
 
Umejitahidi kutoa maelezo marefu, haya kunywa maji utulizane.
 
wewe Angelita sisi tulippo uku ndio tuliopo uko vyuoni na kila mahalii au mpenzi wako wewe hayupo jf au fb au kokote??? acha useng***
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom