Purity Emmanuel Member Nov 11, 2011 49 10 Mar 6, 2012 #1 habari zenu, Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne amepata division two na nia yake hasa ni kusoma combination ya CBG Je ni shule gani za binafsi nzuri ambazo zinafundisha hii combination
habari zenu, Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne amepata division two na nia yake hasa ni kusoma combination ya CBG Je ni shule gani za binafsi nzuri ambazo zinafundisha hii combination
D DOMA JF-Expert Member Mar 17, 2011 944 365 Mar 6, 2012 #2 Kama Unataka kupishana na gari la mkopo chukua hiyo combination
Hussein J Mahenga JF-Expert Member Mar 5, 2012 745 633 Mar 6, 2012 #3 Hiyo haifai hata kidogo,mwambie atafute uwezekano wa cmbntn nyngne!