need responsor wa kunisomesha

Nokia3D

Member
Feb 2, 2013
74
1
Seriously am running with the family causatives and comfricts amang themselves leading me to seek out responsors of paying my collage fees.
Throught ICT empowering [information and communication technology] learnit collage of bussines and Technology at posta,dar es salaam
for anyone who need to advice me may txt or dial my number +255767980086
cause I want join with a collage by their demand of their collage fees of 800,000/=Tsh which is being paid by four installments
"PLEASE I NEED YOUR HELP"
 
intanalional na responsor ni nini mkuu mimi kwa kweli cjakuelewa kabisa andika hata kiswazi ndugu
 
Mkuu Sponsors Wapo Sana, Amini Kuwa Humuhumu Jf Kuna Watu Wamebahatika Baada Ya Kuleta Mabandiko Yao, Tatizo Lako Ni Presentation Mbovu Ambayo Ni Vigumu Kumshawishi Mtu Kukusaidia, Ungeandika Hata Kwa Kiswahili Fasaha, Si Kama Nakukatisha Tamaa Ila Kwa Sisi Ambao Tumewahi Kusoma Kwa Misaada Ya Wafadhili Tunaamini Kwamba Ni Lazima Utumia Lugha Ya Ushawishi, Nakushauli Ujipange Alafu Leta Bandiko Zuri Angalau Watu Wajue Background Yako, Mpaka Sasa Una Elimu Gani? Umesoma Vip Mpaka Umefika Hapo Na Goals Zako, Wengine Wanaingiza Hata Familly Problems Zao Ili Mladi Tu Wateke Hisia, Sikufundishi Ufanye Yote Hayo Lakini Atleast Onyesha Kuwa Uko Serious.
 
nimekuelewa mkuu
 
Mheshimiwa Nokia 3D , tafadhali sana andika tena kwa kiswahili ili ueleweke.
Sababu hapo ulipoandika mmh
 
Back
Top Bottom