need help on how to watch tv on the phone. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

need help on how to watch tv on the phone.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by marregal, Mar 24, 2012.

 1. marregal

  marregal Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hello members, need some help on how i can link or watch tv apart from thoz of foreign on the android phone, your views worth...
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  What kind of cellphone are you using?
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,117
  Trophy Points: 280
  yani ukisema apart of foreign tayari umefilter inamaana tv ya nyumbani utakayoweza kuangalia ni tbc tuuuuuuuuuu, tafuta line ya voda ingia DStv Mobile then una option 2 kuangalia tv bure kwa hio line yako ya voda au kukopy link then kuangalia kwa kulipia kwa line nyengine
   
 4. marregal

  marregal Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Natumia HTC and line ni ya Airtel... Haya Sasa kama ya nyumbani ni tbc tuu em nisaidie jinsi ya kujiunga nikiwa natumia line ya Airtel, nipate na za huko njee na je njia ni hiyo hiyo ama kuna option nyingine?
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,117
  Trophy Points: 280
  am not familiar with htc ila ili upate link ya tbc lazma uwe na line ya voda kwanza uende kwenye link nliokupa hapo juu ufate steps then utaanza kuangalia kidogo tu copy link then uje upaste kwenye line yako ya airtel uangalie
   
 6. marregal

  marregal Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na inacost how much in terms of bundle package to watch ?
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,117
  Trophy Points: 280
  kwa voda ni bure (wakati wa kuangalia) ila kubrowse kufikia hio link utakatwa hela

  Kwa airtel ni vizuri uwe na bundle maana bandwitch zinaenza nyingi.
   
 8. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #8
  Aug 13, 2013
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  this is so impossible! unapostream data kwenye internet lazima itumie bundle yako na kama hujaweka bundle ni swala la vocha hapo. there ain't nothing for free!
   
 9. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2013
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Mkuu usibishe. Mimi nilijiunga siku nyingi ila sikutumia kwa muda mrefu. Ninachokumbuka walikuwa wanatoa muda wa saa 24 kuangalia "bure".Yaani "bure" inaanza "unapoanza kuangalia program uliyochagua. Na wali limit channel 4 tu za kuangalia bure katika ofa hiyo ya saa 24. Baada ya hapo kuna bundle zao unachagua inayokufaa, mfano mimi nilinunua bundle ya sh. 1500 unapewa masaa 4 kutumia ndani ya masaa 24. Unapotembelea link ili kutafuta channel ya kuangalia unalipia data lakini ukianza kuangalia hulipii chochote hata bundle haiguswi. Ila sijamuelewa Chief sijui anamaanisha sasa unaangalia bure bila limit ya muda au ndio yaleyale masaa 24 tu kisha ununue bundle zao ili uendelee kuenjoy sijui.
   
 10. Mnandi

  Mnandi Senior Member

  #10
  Aug 13, 2013
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio kuangalia tu kwa 24hrs mwenye thread anataka aReplace hiyo service amechoka kuangalia tbc tu nyumbani kama nlivyomuelewa. mdau hapo juu anadai voda ni bure mitandao mingine ndio mpaka bundle.
   
Loading...