NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2020. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 0.03

Ouk sawaaah, nikutakie mafanikio mema ktk kutimiza njia ya future za huyo muhusika unae mfanyia suala hilo.
Mkuu habari za siku kijana wetu amechaguliwa IFM faculty bachelor of sience in taxation.ud amekosa na mzumbe pia amekosa kapata hiyo si uko vizuri lakini mkuu.
 
Back
Top Bottom