NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

Mkuu hata mimi nashangaa nimeingilia link hiyo hiyo nikayaona. Ajabu mwingine kaniomba nimuangalizie sasa hivi tena imegoma. Sijui kuna tatizo gani
 
Mwenye linki ya matokeo ya form two anisaidie nichek matokeo ya daud Albert mtoto wa mtukufu nisaidien jamani
 
Habar wakuu...
Naomba mwenye link ya matokeo ya kidato cha pili mwaka huu aweke hapa..... Web ya necta haifunguki toka Jana....
 
Baraza wameweka matokeo kiajabu sijawahi kuona

1. Ukijaribu ku search haikubali kwami shule ni nyingi sana

2. Hawajatoa hata option ya ku filter either kwa kutumia namba ya mtihani , jina la shule ama jina la mwanafunzi. Jana nilitumia karibia nusu saa kuitafuta shule moja
 
Back
Top Bottom